Kisiang

Kisiang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasiang kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kisiang imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisiang iko katika kundi la Kibarito.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search